UFAHAMU ULIMWENGU WA KIROHO NA MATATIZO YANAYOTUKABILI BINADAMU

UFAHAMU ULIMWENGU WA KIROHO NA MATATIZO YANAYOTUKABILI BINADAMU

↪️Ulimwengu wa roho, ni daraja la maisha lililo juu zaidi ya hili tuishilo yaani ulimwengyu wa kimwili. 
Ndiyo maana mafanikio yote huanzia huko na matatizo yote huanzia huko

Unaweza kuuita "dimmansion au plane.✍🏿 

Ulimwengu wa roho umegawanyika katika sehemu tatu (present, past ,na future).

↪️ Ulimwengu wa roho ni ule ambao mwili hauna uwezo wa kuishi. Kwa mfano vita ya kiroho hapiganwi kwa silaha za kimwili kama vile mapanga na bunduki , Bali ni kwa silaha za kiroho

 MFANO
🖌 Kwa waganga au hutumia spells( manuizio,) ambayo hutumika kama ngao na silaha kwa anayepigana vita vya kiroho. 

↩️KARIBU WHATSAPP KWA MSAADA +255758669940

Ulimwungu wa roho, ndio unaukamilisha ulimwengu wa mwili.

 Ili jambo litimie mwilini lazima lianzie rohoni. 

Ndiyo maana watu wanashindwa kuacha kufanya dhambi kwa sababu wanajaribu kuifanya miili yao iache kufanya dhambi. 

Watu wanatakiwa kuzuia roho zao kuwaza dhambi na sio miili yao. 

Ulimwengu wa roho katika past :- kwa mfano kama mtu alitupiwa laana (kufungwa) ,ili kumfungua Leo, waganga hutumia njia ya kusafiri kwa kutoka katika miili yao na kurudi katika miaka ya nyuma katika roho na kutafuta namna ya kufungua tatizo hilo. 

Vile vile katika future. Vili vile anaweza kutumia pepo au viumbe wa kiroho kutatua tatizo hilo.

Njia hii huhusisha mfano kama kafara na mambo mengi⚠️

  Kila jambo linapokuwa limeharibika katika ulimwengu wa mwili, basi lilianzia kuharibika katika ulimwengu wa roho.

 Ulimwengu wa roho ni sehemu muhimu sana katika maisha yako ya ulimwengu wa kimwili. 

KARIBU ZAIDI TUJIFUNZE UJUZI KUHUSU ROHO NA NAFSI ZETU

Popular posts from this blog