Madhara ya punyeto kiroho

❌ 1. Je, punyeto inaweza kuwa kafara au sadaka? ✅ Ndiyo, kiroho inaweza kuwa kafara , hasa kwenye ulimwengu wa giza. ๐น Watu wengi hawajui kwamba punyeto (masturbation) ni mlango wa kiroho unaoweza kutumika kama sadaka au kafara ya giza bila wao kujua. ๐ 2. Kwa nini punyeto ni kafara kiroho? ๐ด Mtu anapopiga punyeto: Anaachilia mbegu ya uhai (nishati kubwa ya maisha). – Mbegu hii ina nguvu ya kiroho na kimaumbile. – Katika ulimwengu wa giza, nguvu hii hutumika kama sadaka kwa majini na mapepo ya ngono. Roho yake inafunguka kiurahisi kwa nguvu za giza. – Ndoto za ngono (spiritual spouses) huingia. – Utaona baada ya punyeto mara nyingi unaota ukiwa na wanawake au wanaume usiowajua. Hujitoa kama chombo cha giza. – Mapepo ya ngono (incubus na succubus spirits) hutumia kitendo hiki kama mlango wa kuingia. ⚠️ 3. Madhara ya punyeto kama kafara ✅ Kiroho: Kushuka nguvu za maombi Kuzima nuru ya roho na nyota Kufungwa akili na ubunifu Kuwahi kufika kileleni kwenye...